Jifunze lugha ya msimbo ya kiswahili
Jifunze kuandika msimbo kwa kiswahili na kutekeleza.
Jifunze kuhifadhi data katika vigezo na kuvitumia.
Jifunze kutumia operesheni za hisabati katika msimbo.
Jifunze miundo ya kudhibiti na matumizi yake.
Unda Vipande vya Msimbo Vinavyotumika Tena kwa Kutumia njia
Jifunze Jinsi ya Kulinganisha Thamani .